JINSI YA KUONGEZA SALIOKWA WATEJA WA VODACOM

 1. 1. Bonyeza Menu ya Mpesa *150*00#
 2. 2. Chagua namba 4 (lipa kwa Mpesa)
 3. 3. Chagua 4 kisha weka namba ya kampuni ( 123222)
 4. 4. Ingiza namba ya kumbukumbu (222)
 5. 5. Weka kiasi unachotaka kuingiza kuanzia shilingi 1000
 6. 6. Ingiza namba yako ya siri, Bonyeza 1 kutibitisha muamala wako
 7. 7. Utapokea ujumbe mfupi wa uthibitisho wa kupokea muamala wako. Ahsante

KWA WATEJA WA TIGO

 1. 1. Bonyeza Menu ya Tigo-Pesa *150*01#
 2. 2. Chagua namba 4 (lipa Bili)
 3. 3. Chagua 3 kisha weka namba ya kampuni ( 123222)
 4. 4. Ingiza namba ya kumbukumbu (222)
 5. 5. Weka kiasi unachotaka kuingiza kuanzia shilingi 1000
 6. 6. Ingiza namba yako ya siri kisha bonyeza OK kuthibitisha muamala wako
 7. 7. Utapokea ujumbe mfupi wa uthibitisho wa kupokea muamala wako. Ahsante
Ok